Mkopo wa maendeleo

Mkopo huu unakopeshwa kwa kuangalia akiba za mwanachama husika, ambapo mwanachama anaweza kukopa hadi mara tatu ya akiba zake lakini siyo lazima mwanachama kukopa mpaka mara tatu ya akiba zake itategemea pia na uwezo wake wa marejesho.

-  Muda wa juu wa marejesho wa mkopo huu ni miaka 4 (miezi 48).

-  Kiwango cha juu cha mkopo ni TZS 60,000,000 (Milioni sitini).

-  Marejesho ni kupitia stahiki za posho za wafanyakazi.

-  Bima ya asilimia 1% ya kiwango cha mkopo.

-  Ada ya fomu TZS 15,000.

-  Riba yake ni 12% p.a-reducing method.