HISTORIA
HISTORIA
SIMU: 0713557846 / 0719041634 / 0676203880
Viwango Savings & Credit Co-operative Society LTD ni Chama cha Ushirika wa Akiba na Mikopo VIWANGO SACCOS LTD. kilianzishwa na wafanyakazi wa Shirika la viwango Tanzania (TBS) tarehe 28.04.1986 na kusajiliwa kwa mujibu wa sheria ya Vyama vya Ushirika Na. 15 ya mwaka 1982 ambayo ilifanyiwa maboresho mwaka 1991, na kupewa namba ya usajili PRI-DAR-UBG-MC-2022-1022 na leseni namba MSP3-TCDC/2022-00089. Ofisi za chama zipo ndani ya Shirika la Viwango Tanzania (TBS).