ELIMU
SIMU: 0713557846 / 0719041634 / 0676203880
ELIMU
Mkopo wa Elimu
- Kiwango cha Juu cha mkopo huu ni TZS 1,500,000/=.
- Muda wa juu wa marejesho ni miezi 6.
- Mwanachama anaweza kukopa kiasi chochote kisichozidi TZS 1,500,000/= kulingana na mahitaji yake na uwezo wa kurejesha.
- Riba ya asilimia 2% kwa mwezi kwa njia ya reducing.
- Ada ya fomu TZS 10,000.
Tanga
Kigoma
Mwanza