Viwango Savings & Credit Co-operative Society LTD ni chama cha Ushirika wa Akiba na Mikopo cha wafanyakazi wa Shirika la Viwango Tanzania (TBS). Kilisajiliwa tarehe 28-04-1986 chini ya Sheria ya ushirika ya mwaka 1982, nambari ya kuandikishwa PRI-DAR-UBG-MC-2022 na Leseni no MSP3-TCDC/2022/00089. Ofisi za chama zipo ndani ya Shirika la Viwango Tanzania (TBS). Ofisi za chama zipo ndani ya Shirika la Viwango Tanzania (TBS)