Mkopo wa dharura
Mkopo wa dharura
Kiwango cha Juu cha mkopo huu ni TZS 3,000,000/=
* Muda wa juu wa marejesho ni mwaka mmoja (miezi 12)
* Mwanachama anaweza kukopa kiasi chochote kisichozidi TZS 3,000,000/= kulingana na mahitaji yake na uwezo wa kurejesha
* Riba ya asilimia 2% kwa mwezi kwa njia ya reducing
* Bima ya asilimia 1% ya kiwango cha mkopo
* Ada ya fomu TZS 10,000